Joe Biden : Marekani yaongoza katika kutoa chanjo duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden asema Marekani ni nchi ya kwanza kukamilisha kuwapatia chanjo watu zaidi ya milioni 62, ambapo inatoa kwa siku dozi za chanjo milioni 3 ikiwa ni zaidi ya dozi milioni 20 kwa wiki.