Jinsi ya kukabiliana na tatizo la kupoteza uwezo wa kusikia

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Maisha na Afya Wiki hii: Tutaangalia tatizo la kupoteza uwezo wa kusikia. Mtaalam wa afya atatueleza njia za kujikinga kufanya masikio yetu kushindwa kusikia.