Jeshi la DRC lakabiliana na waasi kuwahami wananchi

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia laweka kambi katika mji wa Mwenda ambapo waasi wanaodaiwa kuwa ni wa kikundi cha ADF walikuwa wamepanga kufanya mauaji ya wananchi wa eneo hilo.