Je, Afghanistan iko tayari kujisimamia yenyewe ?

Your browser doesn’t support HTML5

Swali ambalo linaendelea kuumiza vichwa vya wengi ni iwapo Afghanistan iko tayari kujisimamia yenyewe baada ya kuondoka majeshi ya Marekani na washirika wake huko Bagram, Afghanistan wiki iliyopita.