Itifaki ya kibiashara ACFTA kuokoa mabilioni ya dola Afrika - Mchambuzi
Your browser doesn’t support HTML5
Mchambuzi Salum Awadh Hagan,Tanzania, aeleza faida za Tanzania kusaini Itifaki ya eneo huru la biashara na soko la pamoja barani Afrika, ACFTA, itakayo punguza zaidi ya dola bilioni 10 zinazotumika kuagiza bidhaa kutoka nje ya bara hilo. Sikiliza uchambuzi...