Imaam wa Kituo cha Kiislam aeleza Waislam wanaamini katika kuwakirimu wanadamu wenzao

Your browser doesn’t support HTML5

Katika msikiti uliopo katika mji wa Minneapolis wageni kutoka dini mbalimbali wanakusanyika pamoja katika chakula cha usiku kwa ajili ya kufuturu.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya Imam kuhusu mantiki ya Nyumba ya Wazi ambayo inafanya daawa kwa kuwakaribisha watu wa imani mbalimbali kuja kujifunza Uislam. Endelea kusikiliza.