Hali yawa tete jimboni Texas kutokana na mafuriko
Your browser doesn’t support HTML5
Suala la mazingira lazungumziwa zaidi nchini Marekani wakati mvua nyingi katika maeneo ya kusini ya Marekani yasababisha maafa pamoja na uharibifu. Ungana na Harrison Kamau akikuletea kwa kina athari ya mvua hizo.