Ikiwa ajenda ya AfCFTA itatekelezwa, vikwazo vya biashara vya muda mrefu kuondolewa na usafiri wa vifaa kuboreshwa, ndani ya bara la Afrika basi uchumi wake unaweza kukua kwa 53%.
Eneo la biashara huria Barani Afrika (AfCFTA) lililo idhinishwa lapiga hatua
Your browser doesn’t support HTML5
Eneo la biashara huria Barani Afrika (AfCFTA) lililo idhinishwa linaonekana kusonga kwa mwendo wa pole. Watalaam wa uchumi
wanasema mpango huu utalibadilisha bara la Afrika na kulifanya kuwa lenye nguvu za kiuchumi Lakini baadhi ya mataifa barani afrika bado yameweka vikwazo vikali.