Duniani Leo : Machi 26 : Mwili wa Hayati Magufuli umezikwa wilayani kwao Chato

Your browser doesn’t support HTML5

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli umezikwa Ijumaa wilayani kwao Chato..
- Rais Uhuru Kenyatta aongoza masharti makali ya kuzuia kuenea kwa COVID-19 Kenya.
- Meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri inasababisha kukwama kwa biashara ya bidhaa yenye thamani ya dola bilioni 9.6.