DRC: Muathirika wa vita aeleza alipigwa risasi, asema mtoto wake alivyo uwawa

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamke kutoka Nyiragongo aliyeathiriwa na vita vinavyoendelea DRC Bayagambi Sebigega, aeleza alivyopigwa risasi na namna madaktari walivyojaribu kumsaidia. Sebigega anaeleza jinsi alivyojikuta ameanguka chini baada ya risasi kuingia katika mwili wake na mguu moja kupasuka.

Endelea kusikiliza ombi lake kwa wahusika kuhusu hali mbaya ya maisha inayowakabili katika kambi wanazoishi. Anaomba amani irejeshwe DRC ili waweze kurejea katika makazi yao ya kudumu.