COVID-19 : Waislam waanza ibada ya Hijja Makka kwa kuchukua tahadhari

Your browser doesn’t support HTML5

Waumini wa Kiislam waanza ibada ya Hijja katika mji mtukufu wa Makka, Saudi Arabia huku wakiwa wamevalia barakoa.