Bondo la Sangara laongeza kipato cha wafanyabiashara Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara wa samaki Mwanza wanasema bondo linalopatikana ndani ya samaki aina ya Sangara lina soko nchini humo na limeongeza kipato chao, wakiongeza kuwa Wachina ni wateja wakubwa wa bidhaa hiyo.