Biden kuhutubia taifa kuadhimisha mwaka mmoja wa COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Alhamisi atatoa hotuba ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu shughuli za kawaida kukatishwa na janga la Corona.
- Marekani yaendelea na juhudi za kutafuta njia ya kumaliza ghasia huko Tigray

- Kenya yatangaza inapitia wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19 na kuna ongezeko la wagonjwa wanaotumia mashine za kusaidia kupumua.