AFCON: Wachambuzi washangazwa kutolewa Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi washangazwa na hatma ya kutolewa Nigeria katika Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika inayoendelea Cameroon.