Tetemeko La Ardhi Lapiga Uturuki lauwa 20

Your browser doesn’t support HTML5

Tetemeko lenye nguvu la ardhi limeua watu 20 na kujeruhi zaidi ya watu 1,000 mashariki mwa Uturuki, Ijumaa, wakati timu za waokoaji zikiendelea kutafuta walionusurika katika kifusi Jumamosi.