Tanzania : Vyama vya upinzani vajiondoa katika uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Vyama vitano vya upinzani vajitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa vikidai maandalizi ya uchaguzi huo yamegubikwa na hujuma