Duniani Leo October 30, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi mkuu wa upinzani Sudan Kusini Riek Machar ametoa wito leo kuongezwa muda wa miezi sita kwa ajili ya kuundwa serikali ya mseto. Na maelfu ya watu wazimiwa umeme kutokana na moto wa pori unaoendelea kuwaka kwenye jimbo la California.