Duniani Leo October 11, 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Ndege ya mizigo ya DRC iliyokuwa imewabeba wasaidizi wa rais Felix Tshisekedi, imeanguka katika msitu kusini mwa nchi alhamisi. Mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi nchini Syaria, yameendelea kwa siku ya tatu mfululizo, leo ijumaa.