Mwili wa Mugabe wawasili Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Mwili wa aliyekuwa rais wa muda mrefu wa Zimbabwe , Robert Mugabe umepelekwa katika mji mkuu Harare ambako utawekwa katika eneo la kihistoria kwa siku kadhaa kabla ya kuzikwa kitaifa.