Duniani Leo August, 22 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Wanasiasa wa chama cha upinzani nchini Burundi wanasema ofisi zake 18 zimeharibiwa katika mda wa miezi miwili. Na Wizara ya biashara ya China imesema kwamba ina matumaini Marekani haitachukua hatua ya kuiwekea ushuru Zaidi.