Serikali ya Kenya kubuni kazi kwa vijana
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Kenya imezindua mpango unaolenga kubuni nafasi za kazi kwa vijana milioni mbili katika kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya kiserikali.