Kutana na mwanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Namugerwa msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Uganda amekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha maandamano ya kuelezea mabadiliko ya hali ya hewa