Zimbabwe yakabiliwa na upunguvu wa dawa za Ukimwi
Your browser doesn’t support HTML5
Afisa wa juu wa shirika la misaada la umoja wa mataifa wiki jana ameitembelea Zimbabwe wakati taifa hilo likikabiliwa na uhaba wa dawa za antiretroviral maarufu kama -ARV ambazo zinazuiya kuendelea kwa HIV na ugonjwa wa ukimwi.