Watu milioni 2.3 wanakufa kutokana na magonjwa na ajali makazini
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya usalama, shirika la maswala ya kazi limekadiria watu patao millioni 2.3 wanakufa na ajali ama magonjwa yanayotokana na kazi.