Azali Assoumani ashinda uchaguzi Comoros wenye utata
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Azali Assoumani amechaguliwa tena kuongoza kisiwa cha Comoros katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni. Licha ya uchaguzi huo kuwa na utata rais Azali awataka wananchi wa Comoros kumuunga mkono.