Watoto wanaendela kutumika kama wanajeshi duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya marufuku ya mikataba ya kwa watoto wanajeshi, baadhi ya nchi bado wanawatumia watoto katika vurugu mbalimbali. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Jeriko ya Goma, DRC imekuwa ikisaidia kuwaandaa watoto na kurudisha katika maisha ya uraiani.