Mhadisi Lucy Wanjiku ni miongoni wa wahandisi wachahce waliokuwa wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamke anapofanya kazi ambayo kwa miaka ilifahamika kuwa sekta ya wanaume huonekana kuwa shupavu ikilinganishwa na miaka ya nyuma ambapo wengi walitambua jikoni kama makao maalum ya wanawake.