Kenya huenda ikahalalisha ushonga

Your browser doesn’t support HTML5

Jamii ya mashoga Kenya inasubiri uamuzi wa mahakama ambao huenda ukaondoa kipingele kinachoharamisha mahusiano ya jinsia moja.