Andry Rajoelina ndie rais mteule wa Madagascar

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama kuu ya Madagascar imemtangaza Andry Rajoelina kuwa ndio rais mteule aliyeshinda duru ya pili ya uchaguzi. Akiongea na wafuasi wake alisema Madagascar imetoa mfano mzuri ambao unafaa kuigwa barani Afrika.