Watu 11 wauwa Beni DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Mauaji yametokea mita 50 kutoka kambi ya jeshi la Congo , watu kadhaa waliuliwa kwa kupingwa risasi na wengine kukatwa mapanga, miongoni mwa wafu hao ni mtoto wa mwaka mmoja.