Umoja wa mataifa wapinga adhabu ya kifo kwa waliomuuwa Khashoggi
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa mataifa umesema unapinga adhabu ya kifo kwa watuhumia wa kifo cha mwandishi wa Washington Post Jamal Khashoggi aliyeuliwa ndani ya ubalozi wa Saudia Arabia nchini Uturuki.