Miili ya watu 18 yapatikana baada ya jengo kuripuka

Your browser doesn’t support HTML5

Miili ya watu 18 imepatikana kutoka kwenye vifusi vya jengo la makazi ya watu lililoharibika kutokana na mlipuko wa gesi kwenye mji wa Magnitogorski Mashariki ya mji mkuu wa Moscow.