Korea ya Kusini na Kaskazini zazindua mradi wa pamoja wa reli
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa serikali ya Korea ya Kaskazini na Kusini wamezindua mradi wa pamoja wa kuunganisha njia ya reli na barabara kuu kati ya nchi zao katika sherehe zilizofanyika leo.