Wanawake ni waathirika wakuu wa Ebola Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake ndio wamekuwa waathirika wakuu katika mlipuko wa hivi karibuni wa Ebola, kutokana na hulka ya kuwa ndio wasaidizi wa kuu wa familia barani Afrika.