Nchi za ukanda wa Nile zinakutana Kujadili namna ya kuweka mipango ya maendeleo
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati huu nchi nyingi barani Afrika kila moja ikiweka na kutekeleza mikakati yake ya maendeleo, uhakika wa upatikanaji wa rasilimali ikiwemo maji ni suala muhimu