Vijana wa jumuia ya Afrika Mashariki wakutana Arusha.

Your browser doesn’t support HTML5

Mabalozi wa vijana kutoka wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki wakutana Arusha , Tanzania kujadili nafasi ya mchango wa vijana katika jumuia yao.