Safari ya moja kwa moja kutoka Nairobi hadi New York ya KQ kuanza Jumapili
Your browser doesn’t support HTML5
Nchini Kenya uzinduzi wa safari ya ndege uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa sasa umewadia. Ndege ya shirika la kenya – KQ - kutoka Nairobi hadi Marekani inatarajiwa kuanza rasmi Jumapili hii.