Wapinzani wa DRC wachoma komputa, ishara ya kutokubali uchaguzi wa kiteknolojia.

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa vyama vya upinzani renssamblement vimeandamana katika Mji wa Goma kuelekea makao makuu ya tume huru ya uchaguzi CENI kuomba viongozi wa tume huyi wasitumie Compyuta katika uchaguzi wa disemba 23.