Nigeria kupambana na madawa feki.
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni changa ya kutengeneza madawa nchini Nigeria imeanzisha juhudi za kupambana na kuenea kwa madawa feki Afrika Magharibi kwa kusambaza madawa kutoka nje na ndani ya nchi moja kwa moja kwa mahopspitali na maduaka ya madawa.