Duniani Leo October 19th, 2018
Your browser doesn’t support HTML5
Mkuu wa jeshi la polisi la Tanzania Simon Siro amesema jeshi lake linaendelea na uchunguzi wa kumtafuta mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji. Wadau wa utalii zaidi ya 400 kutoka nchi 40 duniani wakutana Mombasa Kenya.