Afrika ya Kusini kumchunguza waziri wa fedha.
Your browser doesn’t support HTML5
Taasisi ya kupambana na rushwa nchini Afrika Kusini imesema itachunguza kuona kama waziri wa fesha wa nchi hiyo Nhalanhale Nene amekiuka maadili ya uwekezaji kwa mfumo wa taifa wa pensheni.