Senene ni moja ya vyakula bora.
Your browser doesn’t support HTML5
Katika ulimwengu ambao bado nchi nyingi zinajizatiti kuhakikisha kwamba binaadamu hafi kutokana na baa la njaa. Mkulima mmoja nchini Kenya amejitosa kwenye ufugaji wa Senene , kama biashara ya kuwafuga wadudu kwa matumizi ya binaadam.