Hali ya kawaida yaanza kurejea nchini Haiti baada ya tetemeko la ardhi.

Your browser doesn’t support HTML5

Watu waishio katika maeneo duni waameanza kurejea kama kawaida kaitka mji wa Port De Paix nchini Haiti kufatia tetemeke la ardhi ambalo liliharibu majumba kadhaakatika eneo la L'Hopital.