Maisha yazidi kuwa magumu nchini Kenya.

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya bado wanalalamikia hali ngumu ya maisha licha ya kupunguzwa kwa kodi. Baadhi yao wamesema gharama ya maisha imepanda, na wengi sasa wanaonela ni heri katiba ifanyiwe marekebisho.