Erick Omondi amejizolea umaarufu kwa umbo la mwili wake na ubunifu katika vichekesho

Your browser doesn’t support HTML5

Erick Omondi, ni msanii wa kuigiza anayefahamika sana nchini Kenya na Afrika mashariki kwa vichekesho na uwezo wa kuiga vitendo vya watu mashuhuri hasa wanasiasa. Amejizolea umaarufu kwa umbo la mwili wake na ubunifu katika vichekesho vyake.