India yahalalisha ushoga

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya juu nchini India imeondowa marufuku iliyowekwa na utawala wa kikoloni, dhidi ya ushoga, maamuzi ambayo wanaharakati wanaamini kwamba yataimarisha haki ya usawa katika jamii.