Wakulima nchini Uganda wanaungana na wenzao kuanza kutumia taaluma ya kisasa kuzuwia mashambulizi wa viwavijeshi
Your browser doesn’t support HTML5
Wakulima nchini Uganda wanaungana na wenzao katika mataifa yaliyo katika jangwa la sahara katika kuanza kutumia mbinu za kugundua mapema mashambulizi ya viwavi jeshi, mdudu mharibifu wa mimea aliyeshambulia mazao sehemu nyingi barani afrika.