Upakaji rangi wa majengo ya jiji la Mombasa ya badilisha mandhari ya mji huo

Your browser doesn’t support HTML5

Mji Mkongwe wa Mombasa umebadilika kwa majengo yaliopakwa rangi nyeupe na bluu, kuboresha muonekano wa mji huo.