Wafuasi wa Jubilee Kenya wapinga uwamuzi wa mahakama

Your browser doesn’t support HTML5

Wafuasi wa chama cha Jubilee waliandamana Nairobi siku ya Jumanne hadi Mahakama Kuu kulalamika didi ya uwamuzi wake wa kuitisha tena uchaguzi wa rais.