Kampeni za uchaguzi wa Uganda zinapamba moto
Kiza Besigye akiwa Mbale
Mkutano wa hadhara wa chama cha FTC cha Kiza Besiyge
Amama Mbabazi mgombea kiti cha rais Uganda akiwahutubia wafuasi wake
Amama Mbabazi akikabidhiwa taji la ufalme
Kiza Besigye akihutubia wafuasi Mbale Uganda
Rais Yoweri Museveni akiwa ndani ya gari lake na kuwapungia mkono wafuasi wake
Rais Yoweri Museveni akiwasalimia wafuasi wake